Swali #1124
24-04-2023 14:00:57
<p>Mm nmgonjwa wa fangasii za mdomoo na hii naamini kua nmepata kutokana na kutumia anti biotic kwa mda wa miezii miwilii ivo naisii kabsaa njia moja wapo ivo basii nmejalbuu kutumia dawa naona aviponii hii ya kupaka micor oral gel so nfanyajee</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1124