Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Natamani kufahamu ya uvaaji condomu na uvuaji mara tu baada ya tendo kuisha
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1196
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nmepitia kurasa yenu nikaona juice ya kabechi inasaidia ss nilipenda kujua jinsi ya kuiandaa
Kama nimeingia period trh 16 na kumaliz trh20 nikishirik tendon la ndoa trh27 au 28;29 nawez pata mimba
Natokwa na usaha kwenye uume
ninasumbuliwa sana na upungufu wa vitamin c tangu mwaka 2022 pia napatwa na vidonda mdomoni mara kwa mara vinachukua mda mrefu kupona je nitumie dozi gani na kwa mda gani
Hivi vidonda vya tumbo vinasababishs kupumua haraka haraka
naombaa kuuliza swali minyoo inapokuwa mingi zaidi haiwezi kuhusika na upungufu wa nguvu za kiume?