Swali #123
30-01-2023 18:46:12
<p>Pole Kwa majukumu!<br />
Samahani<br />
Mwanangu ana miezi 8,ila toka juzi hapati haja ndogo,km ilivyo kawaida Jana Hadi Leo kakojoa mara1,<br />
Naomba msaada</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 123