Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hivi vidonda vya tumbo vinasababishs kupumua haraka haraka
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 399
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nko na maumivu chini ya kitovu na nlipima jna bt kipimo kikasema sna mimba bt sjaona siku zangu na hua zinakam taree 3 myb mniambie shida ni nin
Jinsia ya kiume na umri wa 24. Je mwanamke akivusha siku zake mpaka miezi miwili baada ya hedhi nikikutana nae tufanye siku ya60 baada ya kupata hedhi. Je anaweza pata ujauzito nikikutana nae?
Mwanamke anapokutana na mwanaume kwa siku yake ya kwanza hupata mabadiriko gani katika mwili wake?
Na je Kuna complication gan anazopata mtyu akitoa ujauzito wa wiki mbili
Je anaweza hisi ungumu pemben ya tumbo na maumivu kuzunguka kitovu
Samahani tarehe 11 mwenz 12 nili toka na damu nyeusi sana na damu mabonge mabonge zili toka siku tatu zikakata nikaja tena kutoka na damu tarehe 8 ya mwenz wa kwanza zili toka siku tano
Sasa Jana tena damu hime aza kutoka tena tatizo nini naomba nisaidie na nina taka mtoto