Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mm naumwa kwenye upande wakushoto juu tumbo linako azia
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1059
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nina mimba sasa imefikisha miez 9 na mtoto anachezea upande mmja tu iyo nini
Nimekosa hedhi yangu mwezi w tatu hadi sasa sijauwona nilipimaa mwezi huuu sijaona mimba na maumivu ya tumbo nayasikiaa na sijawahi kufanya bila kinga
Kuonyesha kwamba mwanamke ana mimba matone ya damu hutoka sku ngapi?
Bt kwa Sasa kichwa kinauma tumbo mwili unakosa nguvu na napata choo kilain Sana kama cha kuharisha Leo n cku ya nane toka nkutane na mwanaume bt Jana nmepma mstari mmoja tyu umejitokeza je ni dalili za ujauzito au ni tatizo lingine
Samah doctor nina maumivu chin yakitovu siku za nyuma nilikuwa nakojoa mkojo ambao upo cloud na nyonga inaniuma mwili unajoto kal sielew ni UTI au
kuhusu hizo dawa za fangas zilizo tajwa hapo juu mjamzito anaweza kuzitumia,