Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nmefanya mapenzi siku salama lakini mpaka sasa sioni siku zangu nn shida
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 585
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nin umri wa miaka 25 nilikua na mpenzi nimeseks mara mbili ila alivoenda kupima aligundulika mwasilika je munanisaidiaje kwa hlo Mm nilikua sjajua kama kasha athirika
Jamani mimi Nina wiki Sasa na tumbo linaniuma sana tena nahalisha,vip inaweza kuwa mimba
Kwanini mjam mzito wamwezi mmoja mbavu zina mbana namaziwa yamejaha yote n a chuchu zina Uma naku washa
Je, mtu anaweza pata ujauzito akishiriki tendo siku ya 11 katika mzunguko wake,, na dalili za ujauzito zinaonekana kwa muda gani baada ya kushiriki tendo?? na kutokwa na uteute wenye rangi nyeupe mzito unaweza kuwa dalili ya ujauzito??.
Samahani mimi nataka kujua aina zavidonda vya tumbo
Habari za uzima nina ndugu yangu anaumwa kuna dude frani limetokezea kama ulimi wa pili lina msumbua sana sijajua ni ugonjwa gani