Swali #829
22-03-2023 16:43:20
<p>Mm nina swali nina skia sehemu ya matiti kama vile kichomi maka vitu vina tembea tembea sijui nini na nime pima mimba kama mala mbili sina sasa shida nini yani nina kosa laa Chuchu azi umi lakini nina skia kama vitu vina tembea tembea kwenye matiti ni saidie</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 829