SWALI

Hello!! Nina swali kwenye mambo ya uzazi.
Nilikutana na mwenza wng siku ya hatari na sasa yapata siku ya 12 ila nimekuwa najisikia hamu ya kula vitu tofauti tofauti, naninatoka maji meupe yasiyotoka harufu, matiti nikiyaminya nasikia maumivu ila chuchu hazijabadirika rangi nawala haziumi, ila pia chini ya tumbo upande wa kulia kwangu nakuwa nasikia kitu kinacheza haswa najisikia hiyo hali nikiwa nimelala nimetulia, je hizo zinaweza kuwa dalili za mimba???

Swali No. 527


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 527 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 27-02-2023-06:10:56 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA