Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Maziwa kuongezwka ukubwa bila maumivu nidalili ya mimba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 175
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Doctor me nonaomba ushauri maziwa yangu laini sana afu napata kizunguzungu na kuumwa na tumbo chino ya kitovu na mkojo wangu una rangi nyekundu shida nn
Samahan mbona mimi nisha tumia dawa sana ila siponi fangas
Na ukifanya ngono na mwanamke mwenye virusi pasipo kupata mchubuko wakati wa tendo Kuna uwezekano wa kupata virusi?
Ninatokwa na maji ukeni baada ya kukojoa , na nina mimb ya miezi 7 je shida ni nini?
Asante Kwa kutuelimisha juu ya ugonjwa wa u.t.i, je vyoo vya kukaa vinaweza kuambukiza u.t.i?
Naomba kujua ninapohisi kichefuchefu na sihitaji chakula chochote nifanyeje