SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #228 07-02-2023 18:05:01

<p>Habari nimehifrahia makala Yako hila naomba kujua itachukua kipindi Gani kuzitambua hizi dalili za ukimwi endapo atakuwa amepata maambukizi kwa mara ya kwanza??</p>

JIBU

Itachukua miaka hatavmitano ama zaidi kupata dalili za UKIMWI. Itategeneana na hali ya kinga ya mwili wako. 

 

Ama dalili za HIV ama VVU itachukuwa wiki mbili hadi sita kuoata dalili za HIV ama VVU

MASWALI YANAYOFANANA