Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kuna dawa gani ya asili ambayo mtu anaweza tumia akapona fangas vzr?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 825
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
nmeingia cku zangu trh 28 mwezi wa 3 na nkashiriki tendo la ndoa kwanzia cku ya 11 mpaka cku ya 18 lakn nmeona cku zangu tena trh 24 mwezi huu je sina ujauzito
Asante sana kwa maelekezo mazuri ntaendelea kuwafatilia nmejua Mambo mengi sana nami nkiwa mhanga wa tatizo hili
Nimeingia mp tarehe moja mwezi huu nkamaliza tarehe 2 danger ni tarehe 11 nimekutana na mwanaume tarehe 10 kunauwezekano wa kubeba mimba
Nlikuw nnaswali vidonda vya tumbo pia vn virusi
Samahan naomba kuuliza mimi huwa kabla ya hedhi napata maumivu ya tumbo maumivu hayo yanaweza kuwa ya siku moja Ila siku ambayo hedhi itatoka napata maumivu makali mno na maumivu hayo yatadumu Hadi hedhi ikate na inapelekea mguu wa kushoto kuwa kama unakufa gannzi.naomba nisaidie ni nini hiki?
Ikiwa umepima mara kadha hamna majibu hapo unakuwa hauna au?