Swali #1202
06-05-2023 06:04:24
<p>Naomba kuuliza kuhusu watu wanaofanya mapenzi kwa mdomo, means kunyonya sehem za Siri,1.wale bacteria au fangus wanaweza kusababisha kansa ya Koo? 2.kama ni ndio utajuaje kama umepata saratani kwa muda huo?3. Kama wapenzi walikua wanFanya hivyo either Mara 3 au 4 alaf wakaacha madhara gan yatatokea? 5. Hatua zipi zichukuliwe Kama Kuna magonjwa yatatokea?</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1202