SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #433 21-02-2023 11:34:58

<p>Jee nabii mussa alilelewa na nani?</p>

JIBU

Nabii Musa alilelewa na Firauni na Mke wake. Hata hivyo aliyekuwa akimnyonyesha ni mama yake mzazi. Hivyo basi alilelewa na Firauni chini ya uangalizi wa mama yake. 

 

Alipata malezi bora kwa maana na Asia mke wa Firauni mbaye Quran imemtaja kuwa ni mmoja katika wanawake bora .

MASWALI YANAYOFANANA