Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nauliza mke wa Nabii Nuhu alikuwa anaitwa nani?
Inasemekana anaitwa Naamah
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je mtu akitokwa na upepo yaani kujamba je lazima kutawadha kwanza ndo ashike udhu??
Naomba nielekezwe ikhfau Shafawiya katka hukumu za kusoma Quran
Mm na tanataka kujenga nyumba kama ya mtume Muhammad swalallahu aley wasalam ❤️. Je nitapataje ramani ya nyumba ya mtume Muhammad swalallahu aley wasalam
mimi muisilamu hila akuna ninacho kijua msaada wenu nataka kitabu cha kiswahili nijifunze km itawekana
Naomba Dua za kusoma wakati wa funga
je ni dua ipi imependekezwa zaidi katika swala hii ya tahajjud