Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari ni vitu gani mgonjwa wa madonda ya tumbo atumie ili kupunguza maumivu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 296
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je nini tatizo ikiwa tumbo linakuwa kama limejaa gezi halafu nikiwa nalibinya kwa ndani nakuwa napata maumivu flan chini ya kitovu japo sio makali
Asante samahan naomba kuuliza kama majimji takiwa yana Toka ukeni nayo pia ni ugonjwa
Niliharibikiwa na ujauzito wa week 7 kutokana na kuumwa ambapo nikatumia dawa ambazo sikujua kama Zina effects za kuharibu mimba so nikasafishwa kizazi nikapewa na dawa nikarudi KATIKA Hali yangu kawaida Lakini Leo ni kama siku ya tatu ninahisi maumivu Kwa mbali hasa chini ya kitovu upande wa kushoto au hta nikibinyabinya hiyo sehemu na mkono JE MAUMIVU HAYO YANASABABISHWA NA NINI ?
Huwa nikiamka asubuh nakuwa n maumivu makali sn y kichw mgongn unauma San nachoka sanaa ata usingz uishii nachokaa sanaa
Habari naitwa daines nilikuwa natumia uzazi wa mpango nimekitoa mwezi wa 12 mwaka Jana nasiku zangu sizioni Toka mwezi wa kumi mwaka Jana mpaka leo sioni siku zangu Leo nimepima kipimo kinaonesha ninamimba je inawezekana?
samahan mm Kuna mda naweza kua natembea mala gafla nachomwa na kitu kiunoni uku kinashuka kidogo kwenye paja apo mguu hauwezi kukanyaga Tena mpaka nisimame Kama dak 3 ndo niendelee na safal,je ilo ni tatizo gani,na linaweza badae kuleta hathar gani ktk mwili wangu na naweza kufanya nini? ili kuondoa ili tatizo.