Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nahisi nina tezi dume. Nitawapataje kuweza kupata msaada?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 835
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hi,Kwa nini chuchu zangu ziko na uchungu Na zinatoka damu
Nina miaka ishirin na nne na nijinsia ya kike, nilikuwa na swali kuwa nitatumia dawa ipi kuzuia fangasi ambayo imeleta vidonda ndan ya uke? Maana nikijisafisha naona had damu
Ninasumbukiwa na uvimbe wa titi nitajuaje kama uvimbe ni wakaida na nimda gani nikae ili nikamuone doctor?
Dawa Kwa mtu aliyevimba baada ya kuungua na mafuta ili kutoa malenge lenge ya uvimbe
Habari me ni msichan mwenye umri wa miaka 22 swali langu ni kwamba ni kitu gan kinachosababisha maumivu ya chini ya tumbo wakati wa kujamianaa???
Ok mm shida yangu sehem ya uume Kama nikibinya yanatoka maji ambayo Kama usaaa lakin hayajafikia kwenye usaa