Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je! Mimba ya week moja inaweza kuonekan kwa kutumia kipimo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 748
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi nataka dawa za kiungulia alafu uniambie na vyakula vya kula...uenda nakosea kwenye vyakula ninavyokula
Je ukijitwaharisha usiku alaf uamke kuswali asubuh utoke na vitone vya damu je inaswihi kuswali au hadi ujitwaharishe upya?
Madhara gani atayapata mgojwa wa presha akitumia dawa za presha kwa muda mrefu?
Haya misutari anayofanyaaa mama mjamzito yanawezaa kuondokaaa Kwa dawa gani au ndo hayaondokaaa tenaaa
Ikiwa naanza siku za hatari nakuwa na joto sana mpaka siku za period nyingne ya mwezi ujao hii inakuwa ni nn? Maaana naweza kuhis Nina mimba lakin hatima yake naingia period hii ni tatizo?
Habari vipi unaweza kupata siku zako na ukawa na ujauzito kwa wiki za mwanzo kabla hata haujafika mwezi