Swali #475
24-02-2023 07:33:12
<p>Dr tatizo lingine Ni kwamba nabanwa na mkojo kila muda mabayo Ni kawaida kwa mjamzito Ila Kuna wakati nahisi kibofu kinauma kana kwamba mkojo umejaa Sana Ila nikienda kukojoa natoa mkojo kidogo saana na bado kibofu nahisi kimejaa Hilo Ni tatizo gani</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 475