Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Inatokeaj mpaka unapata mimba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 454
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani habar za leo nahisi maumivu ya hedhi karibu wiki saizi lakin sioni hedhi tumbo linajaa gesi je tatizo nin
Je ukijitwaharisha usiku alaf uamke kuswali asubuh utoke na vitone vya damu je inaswihi kuswali au hadi ujitwaharishe upya?
Da dokta usinichoke nikutaka kujuwa tu pia ninauliza kwanini tunapoenda kupima hospitali twende miezi 3 wakati kipimo uonyesha kuanzia wiki 3
Ninasuali unaweza ukawa umepitiliza siku zako kwamuda wa siku 11 na ukapima ujauzito usioneshe je unaweza ukawa ni mjamzito naomba kujua
Shida yang Ni kuwa mwez wa pil tarehe 28 ilikuw cku ya mwisho ya period akin ilikuw ya tofaut San nilitokwa na uchafu tu so sijui kam ilikuw Ni hedhi
Tatizo langu, ni ku kuwa na mawazo sana,kukosa furaha na kukosa umakini hata ninaooelekezwa jambo. Nifanye nni kuepuka haya?