Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je haya maumivu ya chini ya kitovu yanayokaza hudumu kwa muda gani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 346
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je izo protine poda za mazoezi zina mazara kiafya?
Mi maziwa yamejaa na yanauma. Ila hii dalili naisikiaga nikikaribia period ila pia nimesex juzi sa sielew hapo ni mimba au period
Dawa ya benpham kwa mtoto wa mwaka 1na nusu anaweza tumia anadalili zote za minyoo
Mimi ni mjazito siku zangu zimekaribia za kujifungua na Niko na shida za saa nyengine ya pumzi shida ni nini
mimi nina minyoo na wasikia kabisa wakiwa wana tembea nyuma nime tumia dawa ya Albendazole lakini bado napata dalili za minyoo
Habari za jioni mm Nina hali ambayo siilewi ninachoka muda mrefu na mapigo ya moyo yanaenda mbio yaani hata nikitembea umbali kidogo tu hoi