Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Napatwa na homa kichwa kuuma tumbo nalo kinauma doctor
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 772
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Swali langu, ipi Sababu ya mwanamke kuchanganywa na siku yake ya period eg, maalum Ni tareh 23 Kila mwezi ,utaona inamshusha 18, Mara 22 kupanda Tena 26 , naomba kujua doctor
Hello habari za kazi samahani naomba kuuliza je mtoto akizaliwa na tatizo la tundu kwenye moyo Kuna uwezekanao akawa mlemavu WA viungo?
Ni chakula kipi kinafaa kuliwa na mgonjwa wa kisukari asubuhi?
Mimi Nina mimba ya miezi 5 lakini Nina tatizo la kutokwa na maji maji ukeni wakati mwingine na damu yenye mabonge mabonge kama mwezi mzima sasa
Mimi ninachangamoto ya mauvi chini ya tumbo kwa kushoto pia napata maumivu kwenye mbavu upande wakushoto
Je kama umeingia trh 12 ya mwez wa 1 nitajueje siku zangu sipl