Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari.tatizo la kumwaga mapema linaweza kutibika?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 645
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na swali juu ya kujuwa mke wng naweza anaweza kujuwa km ameshika mimba baada ya siku ngap baada ya tendo
Habari za uzima nina ndugu yangu anaumwa kuna dude frani limetokezea kama ulimi wa pili lina msumbua sana sijajua ni ugonjwa gani
Mwanamke atakapo tokwa na mimba anatakiwa kukaa mda gani bila kukutana na Mme wake kimwili
Swali langu ni nimepata changamoto ya jicho. Nilijipiga na mnati kwenye jicho na jicho limekuwa jekundu
Kutema mate,kukauka lips,n maumivu y tumbo inatokana n nini?
Nlikuw nnaswali vidonda vya tumbo pia vn virusi