Swali #85
30-01-2023 15:05:32
<p>Hellooo! Ndugu najihisi kuwa mpweke sana, kwani Huwa nahisi mm ni mgongwa wa ukimwi, lakini nikienda kupima naambiwa sio mgongwa, lakini dalili nationa kama ni kweli mm ni mgojwa, kwani afya niliyonayo Si sawa na afya yangu kabla ya miaka mitatu iliyopita, nifanyeje ndugu, naomba ushauri!</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 85