SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1254 21-05-2023 13:53:45

<p>Natokwa na majimaji ukeni masafi hayana harufu yeyote lakin Kuna mda yanaweza yakatoka mengi kidogo kiasi Cha kulowesha chupi mpaka taiti</p> <p>&nbsp;</p> <p>Ni tatizo Gani hili? Kwa sasa ni siku ya nne tangia nilione tatizo hili na lilianza mara tu baada ya kukutana kimwili na mwanaume</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1254

MASWALI YANAYOFANANA