Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari nilikuwa nataka kuuliza unaweza pâta mimba n'a umedunga sindano ya uzazi
Ndio inawezekana endapo dawa haitafanya kazi vyema
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Natamani kufahamu ya uvaaji condomu na uvuaji mara tu baada ya tendo kuisha
Je mwanamke mwembamba ataweza jifunguaa Kwa njia ya kawaida
Habari,naomba kuuliza je katika iyo hali ya kuwa na fangasi ukeni halafu ni mjamzito unweza kutumia dawa zakuweka ukeni kama zile tube au vidonge? Au kunanjia gani tofauti yakuzuia iyo muwasho,majimaji machafu?
Swali lingine mbona mwanamke anaweza kuwa hamefunga bridi na umri mkubwa hata miaka 50 baadaye anabeba mimba hiyo hinakuaje
Mimi ni muhanga wa uvimbe kwenye titi na ninanyonyesha
Morning... sorry nina swali.. nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo na inapelekea mpka vinafika kooni ... je nitumie dawa dawa gani ili zinisaidie???