SWALI

Habari! Nilikuwa nasoma makala yako juu ya mapunye na tiba zake, nina mtoto wa umri wa miaka miwili na miezi mitatu, anasumbuliwa na punye ambalo limejitokeza shavuni karibu na jicho.Ni takribani miezi minne sasa natibu kwa tube, sabuni lakini linapona na kujirudia.Nifanyaje ili kutibu lisinirudie kabisa?

Swali No. 985


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 985 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 02-04-2023-06:07:53 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA