Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mchumbaang huwa anapata maimivu makali na mchubuko seem ya uke
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 276
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani tarehe 11 mwenz 12 nili toka na damu nyeusi sana na damu mabonge mabonge zili toka siku tatu zikakata nikaja tena kutoka na damu tarehe 8 ya mwenz wa kwanza zili toka siku tano
Sasa Jana tena damu hime aza kutoka tena tatizo nini naomba nisaidie na nina taka mtoto
chango husababishwa na nini....?na tena kuna dawa yake?
Asante kwa kutuerimisha na nikwa je mimba ya wiki moja unaweza ukapima na ikajulikana?
Nmepitia kurasa yenu nikaona juice ya kabechi inasaidia ss nilipenda kujua jinsi ya kuiandaa
Habari naomba unisaidie mm niliingia period trh 25 mwez wa kwanza nkamalza thr 31 nikasex na mume wang trh 11 sasa huu mwez wa pili cjaingia period nashindwa kuelewa naomba unisaidie
Dawa Kwa mtu aliyevimba baada ya kuungua na mafuta ili kutoa malenge lenge ya uvimbe