SWALI:

Habari napenda kujua kuhusu dawa za pressure

Swali No. 416




JIBU

Presha ipo katika mafungu mawili ambayo ni: -

 
1. Presha ya kupanda yaani shinikizo la damu la juu kwa lugha ya kiingereza hufahamika kama Hypertension
 
 
 
2. Presha ya kushuka yaani hinikizo la damu la chini. Kwa lugha ya kiingereza hufahamikabkama Hypotension. 
 
 
 
Dawa za kutibu tatizo hili zinapatikana mahospitalini. Fika kituo cha afya kilicho karibu nawe upatiwe matibabu. 
 
 
 
Pia nakushauri pitia makala zetu zinazozungumzia jinsi ya kuishi na ugonjwa wa presha. Makala hizi hapa chini
 
1. Presha ya kushuka
2. Presha ya kupanda
 
Dawa hizi zipo kwenye makundi mengi inategemea na hali ya mgonjwa na aina ya presha aliyo nayo.



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 19-02-2023-18:26:36 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA