SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #338 15-02-2023 17:39:55

<p>Habari naitwa daines nilikuwa natumia uzazi wa mpango nimekitoa mwezi wa 12 mwaka Jana &nbsp;nasiku zangu sizioni Toka mwezi wa kumi mwaka Jana mpaka leo sioni siku zangu Leo nimepima kipimo kinaonesha ninamimba je inawezekana?</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 338

MASWALI YANAYOFANANA