SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1270 21-05-2023 14:07:56

<p>Samahani nlinunua kipimo cha hiv nikajipima mwenyewe majibu yalitoka negative lakini baada kama ya lisaa limoja nlipoludi kuangalia kipimo kwa mala ya pili nikakuta kuna msitari1 wa negative unaoonekana vizuri kabisa halafu kuna mistari mingine miwili iliyopimda pinda na haijafika chini jumla inakua mi3</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1270

MASWALI YANAYOFANANA