SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1150 26-04-2023 06:06:37

<p>Habar doctor &nbsp;mimi ninatumia dawa za pressure 2 years &nbsp;sasa lakn 2023 hii moyo unanienda mbio natembea kidogo tu lakn moyo unanienda ressi sana had nipumzkeee ndo nakaa sawa hata kushuka kitandan kwenda choon naskia hivyo nawa kma mtu aliyekimbia sana had nipumzke ndo nakuwa sawa naomba unisaidie</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1150

MASWALI YANAYOFANANA