Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni siku ya tatu Leo Kila nikikojoa, mwishoni damu inatoka kwa nini?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 601
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Napatwa na homa kichwa kuuma tumbo nalo kinauma doctor
Ninasiku kama yatatu kichwa kinauma nakinapoa bado sijui nikitu gani naomba msaada
Nahisi Nina dalili za fangasi ukeni je naweza kutumia dawa gani
Ni michubuko ukeni alafu muwasho na maumivu pia nyama za pembeni zimevimba yani hata nikijigusa tu naumia
Alafu swali langu lingine uke kua mkavu pia Kuna daw ya kuleta utelezi?
utajuaje kama ni mimba mtoto wa kiume
Naomba unisaidie nashida moja kweny koo nikila pipi au k2 chochote chenye sukar naskia kooo linakaauka itakuwa ni shida ya nn
Naomba kuuliza mfano umeng'atwa na muathirika wa ukimwi amabae anatumia dawa je nawe anaweza kukuambukiza