Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari je mtu Mjamzito tumbo hujaa gesi mara kwa mara
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 180
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
mm mulishawai kuumwa uti na kupatiwa tiba Ila kwa Sasa Kama sijanywa maji ya kutosha huwa inaniludia na nimechomwa sindano Mara mbili ila nikitibiwa huchukua mwezi harafu inaniludia .je, unanishauri nn Dr.
Mimi nilikua na shida ni muhanga kutafta mtoto nilipima nikaambiwa na pld nimetumia dawa nimemaliza pia nilingia p talehe22 mwezi2 mzunguko wanguni28 Hadi leo nina siku kumi na tano chakushangaza nasikia maumivu ya tumbo chini Kama visindano na usingiz pia gesi tumboni na maji maji yanatokea lakini hayana harufu je shida yaweza kua Nini hapo
Je fangas Usababisha mtu ukiwa period kwenda mda mrefu
Nsikia upande wangu wa kushoto kwenye kifua kunawaka moto Sana?
Habari naomba ushauri nasumbuliwa Sana mwili unaniuma kweli napata joto mwilini kari sana na Koo lote linauna nitumie dawa gani
Niko na vitu kama upele kwa makwapa je shida inaeza kua nini