Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habar docktor samahani gome la mwembe nasukutulia au nakunywa???
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 638
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nataka kuyua njinzi ya kulinda afya yangu
Je inawezena kuwa mtoto amekufia Dani ya tumbo au nikuchoka tu amelala Kwa sababu Niko hospital na wemetafuta heart 💖 beat lakini hawasikii akipumua au kucheza
Fangasi wa uume unatibuje kwa mafuta ya nazi na ni yep yanafananaje
Niliingia hedhi kwa mwez mara mbili ndipo nilipenda kupiga utra sounds nikapewa dawa za wk 2 akasema hayo maji yanasababishwa na PID sasa dawa zimeisha leo bado anasema mayai yapo vzr ila kuna maji
Na hajanipa dawa kasema nikae baada ya wk 3 niende tena
sikuhatar za kupata ujauzito kwa mwanamke nisiku gan
asalamu,alayku mototo mdogo mwenye umli wa mwez mmoja adi tano akini kojolea nakuwa na udhu?