Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari je kuvimba kwa mguu vitamin b itakuwa kwa wingi au imepungua
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 688
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Daktar kuna kingine kamaa malengee lengee nmkiinqa leo asubh kwa pemben kwa juu ilaa kimevimbaa Wakt was kukaa kinavutaa na kusimama...
Hivi kw mfano tupu mbili zikakutana ya kike na yakiume lkn ile ya kiume ikawa haijazama ndani yaani namaanisha imeekeshwa tu kweny uke bila kuzama ndani ule uume je panauwezekano wa kupata mimba
Dokta mm tumbo langu laniuma mda mwengine nikimaliza kula ama nikimaliza kwenda haja kubwa nkikaa na njaa yani huniuma lote naomba sulution
Nlikuwa nasikia uchungu side ya left 4one month then hio uchungu ikahama ikakam pande ya right,sasa imeama tena iko hapa chini kutoka jana iko hapa chini uchungu mwingi sana,nn inawza kuwa na shida, please help me
Niko na vitu kama upele kwa makwapa je shida inaeza kua nini
Habari mimi naomba kuuliza nikila chakula tumbo linachafuka, muda ule naanza kuharisha