SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1194 05-05-2023 07:40:34

<p>Eda ya mwanamke aliyeachwa ni tohara 3,<br /> Eda ya mwanamke mjamzito ni mpaka atakapojifungua,<br /> Eda ya mwanamke aliyefiwa ni miezi 4 na siku 10,<br /> Jee mwanamke aliyefiwa na mumewe huku akiwa na ujauzito itakuaje eda yake?</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1194

MASWALI YANAYOFANANA