Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Me naumwa skio nimeweka dawa skion je nimefungulia
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1040
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Swali langu Mimi Nipo kwenye ofisi za mikopo nafanya kazi na izo ofisi zina liba ndani yake je mimi nae ni miongoni mwa Wala liba
Ni mwajililiwa katika ofisi za mikopo na ofisi izo zina liba ndani yake je mimi nae ni miongoni mwa Wala liba
Je inafaa kuchoma sindano wakati umo kwenye funga?
Kwanin mwanaume anaoa wanawake zaid ya mmoja Kwan uyo mmoja hamtoshi
Asalam alaykum ,nina swal mimi ni bint naish na mwanaume bado atujafunga ndoa kulingana na uchumi ila tunamatarajio ya kufunga,sasa mmi nataka nianze kusal sala tano je apo inakuwaje jamn
Zakat ili uanze kutoa inatakiwa uwe na kuanzia Kiasi gani cha pesa
Dua kwa mama mjamzito anae umwa na hajifungui