Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Doctor napatwa na maumivuu upande wa kulia na hedhi inatoka matone tu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1188
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
samahan mi miguu yangu inauma kwenye magoti kwa chini
Samahani ninatatizo lakutok na uchafu pembeni kwenye sehemu za siri naomba kufahamu ni tatizo gan
Mm n mwanamke nna miaka30 suali langu n hili km nna ttz la homon nn kifanyike ili niwe sawa sabb nahitaji kubeba mimba
Ivi mafua ya mara Kwa mara, kuhisi uchovu, na kukosa hamu ya kula ni dalili za UKIMWI??
Habari mimi naomba kuuliza nikila chakula tumbo linachafuka, muda ule naanza kuharisha
Minmi nikila tu kitu kidogo tumbo linajaa Kama he's yaan inanichukua muda kweli tumbo limevimbiana na Hilo Ni tatizo gani