SWALI

Asante.  Mm naomba niulize swali sijapitiliza hezi lkn mwili wangu nauona upo tofauti sana nipo very hot haswa nyakati za usi na mchana nikiwa kwenye shuri zangu huwa naishiwa nguvu nakuwa kama mtu nile lala njaa pia napata mate km ya Mt mwenye homa mepesi na maziwa yanauma pia lkn nilipima na utp majibu sina mimba  na siku nilizo bakiza ni siku 6 tu niingie hezi. 

 Swali langu kwako jee? Inwezekana kuwa nina mimba nimewahi kupima au

Swali No. 609
JIBU

1. Huenda ni mimba na uliwahi kulima ndio maana hujaona

2. Pia huenda sio mimba ni dalili tu za kuingia hezi. 


3. Inawezekana pia ni mabadiliko tu ya homoniKumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 05-03-2023-04:31:48 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA