Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mimi ni mwanamke na miaka20 je naweza pata mimba bila kuona ute
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1110
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm swali langu siku zangu ninakuja kwa mwezi mala tatu au mala nine
Je dalili za vidonda vya tumbo sugu ni zipi
chango husababishwa na nini....?na tena kuna dawa yake?
Nina Miaka 25 ni mwanaume. Tatizo langu ni kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa Hadi kupelekea kushindwa kufanya tendo lenyew hii hutokana na sehemu za Siri (korodani kuuma au kukaza) na kupelekea pia sehemu ya juu ya kupata maumivu pia na tatizo hili limenianza mwaka huu
Mimi ninachangamoto ya mauvi chini ya tumbo kwa kushoto pia napata maumivu kwenye mbavu upande wakushoto
Hello habari za kazi samahani naomba kuuliza je mtoto akizaliwa na tatizo la tundu kwenye moyo Kuna uwezekanao akawa mlemavu WA viungo?