Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je maziwa ya mtindi yanafaa kutumiwa na mgonjwa mwenye h.pylori?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 955
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari namsaidiaje MTU aliepatwa na gesi shimoni au kwa lugha nyingine MTU aliepatwa na mgandamizo wa hewa chafu underground MTU kama huyo namsaidiaje
je inaweza kutokezea tumbo kuja juu upande mmoja t halafu kurudi ukawaida ndani ya wiki 1 vip inaweza kutokea au huwa ges yatumbo t
Mm na mwashoo wa macho kila siku piaa yanaonekan ni dhaif San jee! Ni dalili ya nn??
Kupata vichomi nazo ni dalili za ujauzito na hizo homon zasababishwa na nin kubadilika
Samahan me nilikua natumia kidonge cha kuzuia mimba lakin juiz nimekutana na mwanaume kabla ya cku za dawa kuisha ila nahic kama hali ya mimba lakin sijapima
Kuonyesha kwamba mwanamke ana mimba matone ya damu hutoka sku ngapi?