Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Bilali alikkuwa swahaba wa kipind Cha Nabii Gani?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1152
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Shaikh samahan nauliza nini hukumu ya mwanamke asiyemtii mumewe katika mambo ya kheri?
Mke wangu aliingia siku zake tar 13 mwezi huu,amemaliza tar 17 msaada ni ipi siku ya kushika ujauzito? Ahsante.
Kuna watu wameona bomani mwanamke amefariki muislam mume mkristo katika utaratibu wa mirathi hapa ikoje na ameacha wazazi wawili yaani baba na mama na watoto watatu walizaa katika hiyo ndoa yao ya bomani
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuhu, mimi nimemuachia mke wangu zakatul fitri aigawe ,bahati mbaya mlengwa katafutwa zaidi ya mara mbili hakupatikana ,kaja kupatikana baada ya swala ya iddy, nini hukumu ya hiyo zaka?
Mimi ni mwanaume na ninamiaka 32 naomba kujua maneno ya kikao cha tahyatu
Naomba kujuwa Masharti 5 ya vazi la kiislam