Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Baada ya mtu kuasilika anashauliwa mudagani iliaanze tiba ?
Baada ya Mtu kuathirika anatakiwa aanze dawa haraka sana punde tu anapogundulika ameathirika
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahan mbona mimi nisha tumia dawa sana ila siponi fangas
Ni kwamba tumbo linaniuma kwa Chini na Nina kojoa Mara kwa Mara lkn tulifany siku ya kwanz wakat natoka kwenye siku zangu je nayo ni dalili ya mimba au ni hofu ndy imenitawala
Mimi ni mwanamke nina tatizo la kunyonyika nywele.
kusinya kwa korodani moja pamoja na kuwa na maumivu nako tezi dume?
Kutema mate,kukauka lips,n maumivu y tumbo inatokana n nini?
Habar, samahan naomba kuuliza, endapo unapata maumivu makali ya tumbo upande wa kulia kwa chini na maumivu hayo unayapata wakati wa hedhi na wakati wa siku za kubeba mimba harafu maumivu hayo yanaambatana na kuunguruma je! Inaweza kuwa nini?