SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #328 15-02-2023 16:35:09

<p>Ukiwa umebeba ujauzito sikuile ya kwanza umefanya mimba ikaingia tumbo linauma?</p>

JIBU

Huwenda likauma ila hatuwezi kusema ni ujauzito. Kwani maumivu ya tumbo kwa mwanamke yanahusiana na mambo mengi

MASWALI YANAYOFANANA