Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Assalam Alyqum Warahmatullah Wabarakatu...
Nimepitia kitabu chenu kimojawapo nikakutana na Vipengele vingi tu lakin kimojawapo n cha STARA kwa Mwanamke.kuwa ajifunike mwili mzima kasoro USO na VIGANJA..
Swali langu..Je kwa Wanawake wanaovaa Madera au Vijora nguo hizo huku mikononi huishia nusu mkono.nao watakuwa njee ya STARA au itakuaje na nini kifanyike.??? Asanten👏🏿
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 359