Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Assalam aleykum! Me nataka kujua jina kamili la mtume HUD (A. S.)
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 79
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Alafu nilitoa sindano ya miaka tano last week na naitaji mimba nitakaa for how long diyo nipate mimba
Niliharibikiwa na ujauzito wa week 7 kutokana na kuumwa ambapo nikatumia dawa ambazo sikujua kama Zina effects za kuharibu mimba so nikasafishwa kizazi nikapewa na dawa nikarudi KATIKA Hali yangu kawaida Lakini Leo ni kama siku ya tatu ninahisi maumivu Kwa mbali hasa chini ya kitovu upande wa kushoto au hta nikibinyabinya hiyo sehemu na mkono JE MAUMIVU HAYO YANASABABISHWA NA NINI ?
Kwahyo kumbe mtume Muhammad, alifiwa na mama yake akiwa na miaka 6?? Nani sasa akamlea baada ya kufiwa na mama Ake?
Mm tumbo linaniuma alafu hedhi inatoka lakini so nyingi lakini pia nkiponyeza matti yangu yanatoa maziwa je itakuwa ni nn?
Na vipi inawezekana mwanamke kuingia kwenye siku zake bila ku bleed damu? Yaani asione dalili yoyote?
Nilikuwa natumia uzazi wa mpango baada ya mwaka mmoja nikatoa na baada ya kutoa nikapata hedhi siku 5 na baada ya wiki moja nikakutana na mwanaume unaweza ukapata ujauzito?