">
SWALI:
Ninavimba uke na kuwashwa,je nkitmia vidonge viitwavyo " six vaginal tablets vitanisaidia???
Swali No. 619
JIBU
Kuvimba na kuwashwa huwenda hiyo ni dalili ya kiwa na fangasi. Kwa kuwa hiyo ni dawa ya fangasi ni matumaini yangu kuwa dawa hizo zitakusaidia.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 06-03-2023-03:29:16 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp