Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba kama app inaweza kunipa mawaidha ya audio niambieni Barakallahu fikum
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 223
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kuna miezi mingapi ya kunuwia hijja
Je? Hawa waislam waliofunga Katie lipinski cha mwezi waradhan na wako na wake ambao hawajafunga nao ndoa japo wamekaa nakuzaa watoto zaid ya watatu je funga hizi zinaswihi?
Asalam alkum mimi nimepewa talaka tatu pasipo na shahidi yoyote je hapo talaka amenipa kwa usahihi?
Assalam aleykum nilikuw nauliza je Kuna dua yyote ya kumsomea mait wakati wakumuosha??
Naomba unifundishe namna ya kusimamisha sala ya tarawehe na witir
Swala ya witri inaweza swaliwa kwa kuunganisha bila kutoa salaam baada ya rakaa 2