SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1114 24-04-2023 12:59:57
Question Icon

Me  sahv nina miezi miwili na week 2 toka nijifunguwe mwishonib mwa mwez wa tatu nilikutan kimwil na mume wangu nilimeza kun dawa nilipew ya uzaz wa mpengo ni nyeupe niliambiw nimeze kil cku nilimeza zile cku tu nilizokutan na mume wangu tarh 10 mwez huu niliingia period na ilitoka kwa cku mmoja tu na sijasex tena toka cku nilivyoblleed je kuna uwezekano wa kuwa na mimba???

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1114

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi