Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Sijapata majibu Dr kucha hiyo kwa Sasa inawasha kwa ndani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 163
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ninapata maumivu chini y tumbo japoo nlienda hospitali wakanambia ni infection mbalimbali zipo tumboni wakanipa dawa za kutumiaa baada ya hapoo naonaa sipati hedhi tumbo langu linajaa gas
Nataman kujua vipi kipimo cha ukimwi kinaweza kusoma majibu kwa miez miwili na kuonekana?
Hi Nauliza mke wangu alitokwa na ujauzito mwezi was kumi mwaka Jana mpaka sai haja shika ingine shida inaweza kua nini
Je kwa mwanaume alie mpa mimba mwanamke ana kua kwenye hali gan ??
vifaa vinavyotumika kumsafisha mwanamke sehemu za siri
Na je Kuna complication gan anazopata mtyu akitoa ujauzito wa wiki mbili